KAMPALA - Sera iliyopanuliwa ya China ya kutotoza ushuru bidhaa za Afrika inatarajiwa kuhimiza kwa kiasi kikubwa mauzo ya nje ya kahawa ya Uganda na kuongeza mapato ya familia, Nelson Tugume, afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Inspire Africa, ambayo inamiliki Eneo Maalum la Kahawa ya Afrika katika wilaya ya Ntungamo, magharibi mwa Uganda ameliambia Shirika la Habari la China, Xinhua. Amesema kwamba sera hiyo mpya ya China inatoa mazingira mazuri zaidi ya biashara ikilinganishwa na masoko ambayo y
Kampuni ya kuunda ndege ya Marekani Boeing, imesema Jumanne kuwa idadi ya abiria wa ndege barani Afrika inatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa asilimia 6 kwa mwaka hadi itakapofika mwaka 2044, ikichochewa na idadi kubwa ya vijana, kuongezeka kwa kundi la watu wenye kipato cha kati, ukuaji haraka wa miji na uwekezaji unaoendelea katika viwanja vya ndege na muunganisho. Kwa mujibu wa Mtazamo wa Soko la Biashara la Boeing wa 2025 kwa Afrika, idadi ya ndege za kibiashara za bara hilo inatarajiwa kuon
Wageni wakihudhuria Jukwaa la Tianshan la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia ya Kati mjini Urumqi, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China, Desemba 2, 2025. (Xinhua/Zhou Shengbin) URUMQI - Jukwaa la Tianshan la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia ya Kati limefunguliwa rasmi jana Jumanne mjini Urumqi, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China, likivutia maofisa wa serikali na wajumbe kutoka mashirika ya mambo ya fedha, j
Mkutano wa Tatu wa Wachina wenye Vipaji wanaoishi Ng'ambo kwa Ushirikiano na Maendeleo chini ya kaulimbiu ya "Kuunganisha Nguvu za Wachina wenye Vipaji wanaoishi Ng'ambo, Kuanzisha Zama Mpya kwa Uvumbuzi," umeanza rasmi jana Jumatatu mjini Fuzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China.
VIENTIANE - Treni ya kusafirisha makontena yanayobeba tani 1,000 za wanga wa muhogo tu imeondoka kutoka Stesheni ya Reli ya Vientiane Kusini kwenye Reli ya China-Laos juzi Jumamosi, na inatazamiwa kuwasili Zhengzhou, mkoani Henan, China ndani ya muda wa saa 80. Hii ni mara ya kwanza kwa wanga wa muhogo kutoka Laos kusafirishwa kuuzwa China. Tani hizo 1,000 za wanga wa muhogo zimezalishwa na kiwanda cha utengenezaji wa wanga wa muhogo cha Laos. Mzigo huo umeandaliwa na Kampuni ya Shirika la Reli
Mhandisi akitazama roboti yenye umbo la binadamu ikichukua kifaa kwenye maabara ya Kampuni ya Mambo ya Roboti ya Leju mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Oktoba 24, 2025. (Xinhua/Zhou Mu) BEIJING – Kielezo cha mameneja wa ununuzi (PMI) kwa sekta ya viwanda ya China kilikuwa 49.2 mwezi Novemba, ongezeko la asilimia 0.2 kutoka mwezi uliopita, takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya China (NBS) zimeonyesha jana Jumapili. Kielezo hicho kikiwa juu ya 50 unaonyesha upanuzi, na kikiwa chin
Katika miaka ya hivi karibuni, Wilaya ya Caoxian, mashariki mwa Mkoa wa Shandong, China imetekeleza kwa kasi mpango wake wa uchumi wa wanyama kipenzi wa binadamu katika juhudi kubwa ya kuelekea kuwa kituo kikubwa zaidi duniani cha bidhaa za wanyama kipenzi wa binadamu. Kwa sasa, wilaya hiyo ya Caoxian imeanzisha mnyororo kamili wa viwanda unaohusu samani za nyumbani za wanyama kipenzi, chakula, mavazi na zaidi. Katika miezi kumi ya kwanza mwaka huu, jumla ya thamani ya uchumi wa wanyama kipenzi
QINZHOU - Ushoroba Mpya wa Biashara ya Baharini na Nchi Kavu (ILSTC), njia muhimu ya usafirishaji inayounganisha eneo la magharibi mwa China na masoko duniani, ulikuwa umeshasafirisha jumla ya makontena ya mizigo (TEUs) zaidi ya milioni 5, hadi kufikia juzi Jumamosi, Novemba 29, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kundi la Kampuni za Reli la China, Tawi la Nanning.
NANCHANG - Miaka mitano iliyopita, Zhu Hao, meneja mkuu wa masoko wa Kampuni ya Samani ya Jiangxi Sanyou katika Mkoa wa Jiangxi, mashariki mwa China, hakuweza kufikiria kwamba soko la Ulaya siku moja litakuja kuwa mteja wake mkuu. Hata hivyo, leo, Ulaya inachukua asilimia 70 ya oda za nje za kampuni hiyo. Mageuzi hayo yalianza kwa ziara ya ujumbe kutoka Hungary uliowezeshwa na Bandari Kavu ya Kimataifa ya Ganzhou. Oda yenye thamani ya yuan 100,000 (dola za Kimarekani 14,119.1) iliwekwa na kusafi
Fundi akirekebisha roboti ya kisasa ya viwandani kwenye Kampuni ya Roboti za AI ya Efort mjini Wuhu, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Novemba 21, 2025. (Xinhua/Liu Junxi) Mji wa Wuhu katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China ni kituo muhimu cha viwanda vya utengenezaji wa bidhaa, viwanda hivyo vinahusisha aina 37 kati ya aina 41 za viwanda vya China. Viwanda vyake muhimu ni pamoja na vya kuunda magari, nishati ya kijani, na vyombo vya umeme vya matumizi ya nyumbani, ambavyo kila kiwanda hutoa
Maua ya aina mbalimbali yachanua kwenye kituo cha kupanda maua mkoani Hebei, China
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale
Miti ya ginkgo ya rangi ya dhahabu yavutia watalii katika Mkoa wa Henan wa China
Panda waleta upendo kwenye maisha ya kila siku mjini Berlin, Ujerumani
Uzuri wa Majira: Theluji Ndogo
Uzuri wa Majira: Mwanzo wa Majira ya Baridi
Uzuri wa Majira: Kushuka kwa Jalidi
Uzuri wa Majira: Xiaoman
Simulizi kuhusu urithi wa kale--Nguo Sehemu ya Kwanza
AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) / アドレス: モード: デフォルト 音声ブラウザ ルビ付き 配色反転 文字拡大 モバイル