China inayofungua mlango na inayojiendeleza, ni fursa na imani kwa dunia (I) Maendeleo ya China hayawezi kutengana na Dunia, na ustawi wa dunia pia unahitaji kushirikiana na China. Ufunguaji mlango na ushirikiano wa kunufaishana na kupata maendeleo kwa pamoja, ni ufunguo wa kuelewa maendeleo ya ujenzi wa mambo ya kisasa wa China. Maonyesho ya Nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yalifungwa Novemba,10 mjini Shanghai. Maonyesho haya ya ngazi ya kitaifa ni ya kwanza duniani yenye ma
Ikiwa ilizinduliwa rasmi mwaka 2013, treni za mizigo zinazotoa huduma kati ya China na Ulaya katika Mji wa Xi'an, kaskazini magharibi mwa China zimekuwa zikishikilia nafasi ya kwanza nchini kote China kwa miaka mingi katika viashiria muhimu kama vile idadi ya treni, kiasi cha mizigo na kiwango cha makontena yaliyojaa. Kwa sasa, Stesheni ya Bandari ya Kimataifa ya Xi'an inaendesha njia 59 za reli, huku ikiwa na uwezo wa kupitisha makontena milioni 5.4 (TEUs) kwa mwaka. Miradi kama vile bandari ya
Kazi ya kuweka boriti na kutandika reli ya sehemu ya kusini ya mradi wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini wa Reli ya Weng'an-Machangping nchini China imekamilika kwa mafanikio jana Jumapili. Mradi huo wa kurefusha reli kutoka kusini hadi kaskazini kwa urefu wa kilomita 148 wa Reli ya Weng'an-Machangping ni mradi muhimu wa ujenzi wa reli inaohusiana zaidi na maliasili na mahitaji ya raslimali katika Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China.
Takwimu zilizotolewa na Kampuni ya Kundi la Idara ya Harbin la Reli la China zimeonesha kuwa, Bandari ya Reli ya Tongjiang ya Mji wa Tongjiang ikiwa ni sehemu muhimu ya ushoroba wa mashariki wa huduma ya treni ya mizigo ya kati ya China na Ulaya, imeshughulikia usafiri wa treni 273 za mizigo za kati ya China na Ulaya tangu ilipozinduliwa mwaka 2022, zikiwa zimebeba tani zaidi ya milioni 14 za bidhaa za kuagizwa na kuuzwa nje.
Mkoa Shandong, mashariki mwa China ukiwa ni mkoa unaojulikana sana kwa uchumi wake wa uvuvi wa baharini, umekuwa ukifanya juhudi kubwa za kujenga vituo vya ufugaji samaki baharini katika miaka ya hivi karibuni, ukilenga kutajirisha hatua kwa hatua "ghala la chakula cha baharini." Hadi sasa, mkoa huo wa Shandong umeshajenga " vituo 139 vya ufugaji samaki baharini" vya ngazi ya mkoa au vya ngazi ya juu, kati yake vituo 71 ni vya ngazi ya kitaifa, ambavyo vinachukua asilimia 38 ya vituo vya ngazi h
CAPE TOWN - Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana ametangaza lengo jipya la mfumuko wa bei la asilimia 3, likiwa na kiwango cha uhimilivu cha asilimia 1, ambapo wakati akitoa Taarifa ya Sera ya Bajeti ya Muda wa Kati Bungeni jana Jumatano, Godongwana amesema kiwango hicho cha uhimilivu kinatoa unyumbulifu wa kukabiliana na mishtuko yoyote isiyotarajiwa ya mfumuko wa bei. "Uamuzi huu unafuatia makubaliano kati ya Gavana wa Benki Kuu ya Afrika Kusini, mashauriano yangu na Rais, pamoja
Picha hii iliyopigwa Novemba 3, 2025 ikionyesha mstari wa kuunganisha magari yanayotumia nishati mpya (NEV) wa BYD, kampuni kubwa ya NEV ya China, kwenye kiwanda cha BYD mjini Zhengzhou, Mkoani Henan, katikati mwa China. (Xinhua/Li Jianan) BEIJING - Sekta ya magari yanayotumia nishati mpya (NEV) ya China imeonyesha ukuaji mkubwa katika uzalishaji na mauzo katika kipindi cha miezi 10 ya kwanza ya mwaka 2025, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa jana Jumanne na Jumuiya ya Wazalishaji wa Magari ya Ch
Picha hii iliyopigwa Septemba 30, 2021 ikionyesha eneo la biashara la Jiefangbei (juu) na eneo la kivutio cha watalii la Shibati mjini Chongqing, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Huang Wei) CHONGQING - Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, Mpango wa Kielelezo kati ya China na Singapore (Chongqing) kuhusu Muunganisho wa Kimkakati wa Miundombinu umeibuka kuwa mradi kinara kwa ushirikiano wa kimataifa, ukiimarisha kwa mafanikio muunganisho wa miundombinu kati ya maeneo ya magharibi mwa China
Jana Jumanne, Tarehe 11, mwezi wa 11 ilikuwa ni siku ya Gulio Kubwa la kila mwaka la Mtandaoni la China ambalo linajulikana zaidi kwa jina la Gulio la Siku ya Double Eleven. Kuanzia siku hiyo na siku kadhaa zijazo, kampuni za biashara ya mtandaoni na kampuni za kusambaza bidhaa kote nchini China zimekuwa zikitoa nguvu zote kufanya kazi katika kukabiliana na ongezeko kubwa la vifurushi vya bidhaa zilizonunuliwa wakati wa gulio hilo la Siku ya "Double Eleven."
Veikko Nekundi (kushoto), Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Namibia, na Zhao Weiping, Balozi wa China nchini Namibia, wakihudhuria hafla ya kukata utepe kwa ajili ya ufunguzi wa Barabara Kuu ya Dkt. Hage G. Geingob iliyojengwa kwa msaada wa China mjini Windhoek, Namibia, Novemba 10, 2025. (Xinhua/Lin Jing) WINDHOEK - Namibia imezindua rasmi Barabara Kuu ya Dkt. Hage G. Geingob jana Jumatatu katika mji mkuu, Windhoek, ikishuhudia kukamilika kwa mradi kinara wa miundombinu unaotarajiwa kubadilisha u
Maua ya aina mbalimbali yachanua kwenye kituo cha kupanda maua mkoani Hebei, China
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale
Miti ya ginkgo ya rangi ya dhahabu yavutia watalii katika Mkoa wa Henan wa China
Panda waleta upendo kwenye maisha ya kila siku mjini Berlin, Ujerumani
Uzuri wa Majira: Theluji Ndogo
Uzuri wa Majira: Mwanzo wa Majira ya Baridi
Uzuri wa Majira: Kushuka kwa Jalidi
Uzuri wa Majira: Xiaoman
Simulizi kuhusu urithi wa kale--Nguo Sehemu ya Kwanza
AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) / アドレス: モード: デフォルト 音声ブラウザ ルビ付き 配色反転 文字拡大 モバイル