HONG KONG – Askari wa Zimamoto wanafanya kazi kukimbizana na muda ili kuzima moto mkubwa ambao umeharibu sehemu ya makazi huko Hong Kong tangu juzi Jumatano alasiri, huku msaada na uungaji mkono ukitolewa kutoka jamii mbalimbali kote Hong Kong na kwingineko. Hadi kufikia leo Ijumaa mchana, moto huo uliozuka kwenye Makazi ya Wang Fuk ulikuwa umesababisha vifo vya watu 128 na kujeruhi watu 76, kwa mujibu wa Idara ya Zima Moto (FSD) ya Hong Kong. Idara hiyo imesema, Askari wa zimamoto kumi na mmoja
Uamuzi wa Tanzania wa kuingiza lugha ya Kichina kuwa somo la hiari katika mtaala wa elimu ya shule za msingi, umechochea msukumo mpya katika sekta ya uchapishaji vitabu kote nchini Tanzania. Hatua hiyo inatarajiwa kuendeleza nguvu kazi ya baadaye inayoweza kushiriki kwa ufanisi zaidi katika biashara za pande mbili, utalii na mabadilishano ya kiutamaduni. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mahojiano na Shirika la Habari la China, Xinhua, wadau wa sekta hiyo ya uchapishaji vitabu, wachapaji n
Mashine ikibeba michemiraba ya barafu kwenye eneo la kuhifadhi barafu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Novemba 24, 2025. (Xinhua/Xie Jianfei) Bustani ya Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani maarufu ya utalii wa mandhari ya wakati wa majira ya baridi katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, itaanza kujengwa rasmi leo Jumanne, Novemba 25 kwa mwak
Chapa zaidi ya 120 za mali za urithi wa utamaduni usioshikika zinashiriki kwenye Wiki ya Uenezaji Chapa za Mali za Urithi wa Utamaduni usioshikika iliyofunguliwa rasmi mjini Dali, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China jana Jumapili.
Habari zenu nyote! Mimi ni Sisi, mpenda kutalii! Leo ni Xiaoxue, au Theluji Ndogo, moja ya vipindi 24 katika kalenda ya kilimo ya China. Ni kipindi kinachohusiana moja kwa moja na hali ya hewa, kikiashiria baridi inazidi na mvua au theluji inaongezeka. Pia ni hatua muhimu kwa wakulima kuandaa na kuhifadhi vitu kwa ajili ya majira yajayo ya baridi. Sasa niko Luoyang, mji mkuu wa kale wa Mkoa wa Henan, katikati mwa China, unaojulikana sana kwa jina la "Mji Mkuu wa enzi 13 za China ya kale." Fuatan
Shughuli ya kusherehekea Mwaka Mpya wa Kabila la Waqiang imefanyika katika Wilaya ya Wenchuan, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China Jumatano, ikiwa mwanzo wa kuanzishwa kwa shughuli mbalimbali za kusherehekea Mwaka Mpya wa huo wa jadi wa kabila la Waqiang, ambao uliwadia jana Novemba 20 kwa mwaka huu. Watu wa Kabila la Waqiang, moja ya makabila ya kale zaidi ya China, mara nyingi huchukuliwa kuwa ni "kisukuku hai" katika historia ya maendeleo ya Taifa la China. Mkoa huo wa Sichuan ni sehe
GUANGZHOU - Michezo ya 15 ya Kitaifa ya China, inayofanyika kwa mara ya kwanza katika Guangdong, Hong Kong na Macao, imefunguliwa rasmi jana Jumapili jioni huku sherehe ya ufunguzi wake ikionyesha urithi wa kitamaduni na uvumbuzi wa kiteknolojia. Michezo ya Kitaifa yafanyika mikoa mitatu Kwa mara ya kwanza tangu Michezo ya mwanzo ya Kitaifa ya China ifanyike mwaka 1959, michezo hiyo inafanyika katika mikoa mitatu kwa wakati mmoja: Guangdong, Hong Kong na Macao. Sherehe ya ufunguzi imesisitiza um
Hafla ya Kumbukumbu ya Jumapili ya Maombolezo imefanyika jana Jumapili, Novemba 9 jijini London, Uingereza. Shughuli hiyo inafanyika kila mwaka ili kutoa heshima kwa watu waliofariki vitani wa Uingereza na Jumuiya ya Madola, kwa kawaida shughuli hiyo inafanyika katika siku ya Jumapili iliyo karibu zaidi na siku ya kumbukumbu ya kukomeshwa kwa Vita vya Kwanza vya Dunia, Novemba 11, 1918.
Habari zenu wote! Mimi ni Sisi, mpenda kusafiri. Leo ni Lidong, au Mwanzo wa Majira ya Baridi, kipindi cha kwanza cha majira ya baridi katika kalenda ya kilimo ya China. Pamoja na Lichun (Mwanzo wa Majira ya Mchipuko), Lixia (Mwanzo wa Majira ya Joto), na Liqiu (Mwanzo wa Majira ya Mpukutiko), siku hizo nne kwa pamoja zinatajwa kuwa "vipindi vinne vya mwanzo," vinayoashiria mabadiliko muhimu ya msimu. Kuwadia kwa Lidong kunamaanisha kuwa majira ya baridi yameanza rasmi. Sasa hivi, nimesimama kan
CANGZHOU - Mfereji Mkuu wa China, unaounganisha Mji wa Beijing kaskazini mwa China na Mji wa Hangzhou mashariki mwa China, una historia ya miaka zaidi ya 2,500 na unajulikana kama njia ndefu zaidi ya maji iliyojengwa na binadamu duniani. Njia maalum ya kulinda kingo za Mfereji Mkuu huo imejengwa katika sehemu ya Mji Cangzhou ya kando za Mfereji Mkuu huo katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, ikienea urefu wa kilomita 308 na kupita vijiji zaidi ya 300 katika sehemu mbalimbali za mji huo. Njia
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Milan-Cortina mwaka 2026 wawashwa katika Olympia ya Kale
Miti ya ginkgo ya rangi ya dhahabu yavutia watalii katika Mkoa wa Henan wa China
Panda waleta upendo kwenye maisha ya kila siku mjini Berlin, Ujerumani
Uchumi wa uvuvi wa baharini wastawi katika Mkoa wa Shandong wa China
Uzuri wa Majira: Theluji Ndogo
Uzuri wa Majira: Mwanzo wa Majira ya Baridi
Uzuri wa Majira: Kushuka kwa Jalidi
Uzuri wa Majira: Xiaoman
Simulizi kuhusu urithi wa kale--Nguo Sehemu ya Kwanza
AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) / アドレス: モード: デフォルト 音声ブラウザ ルビ付き 配色反転 文字拡大 モバイル