Jump to content
Wikimedia Meta-Wiki

Translations:Movement Charter/Drafting Committee/Candidates/422/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Kwa mkataba huu, tulipendekeza changamoto ya kutengeneza mfumo wa utawala katika harakati za Wikimedia. ili kuhakikisha kuwa harakati zake zinatimia,lakini bila taasisi rasmi inayotambuliwa kama baraza la kimataifa,tunaachwa na mifumo yenye miundo ambayo inaweza kuwa bora kitaasisi na kirasilimali,Wikimedia hutumia mamilioni ya dola kwa ajili ya kazi za kijamii.

AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) /