Translations:Campaigns/Foundation Programs Team/57/sw
Appearance
From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Wakfu wa Wikimedia sasa una timu ya Bidhaa inayozingatia mahitaji ya waandaaji wa kampeni na hafla katika Wikimedia Movement. Katika mkutano huu, tutatambulisha timu ya bidhaa, na jinsi tutakavyokuwa tukishughulikia kipengele cha kwanza, Usajili wa Mshiriki. Jiunge nasi na utoe maoni juu ya mawazo yetu ya kwanza!