Translations:Campaigns/Foundation Programs Team/51/sw
Appearance
From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Saa hii ya ofisi itajumuisha kuangazia yale ambayo Tumetambua kuhusu muundo wa kampeni kulingana na Hadhira, Zana ya WikiGapFinder na kuonyesha jinsi kampeni zenye mada za kikanda kama vile Mwezi wa Wikipedia wa Asia zinaweza kutumika kuziba mapengo ya maudhui katika eneo.