Translations:Campaigns/Foundation Programs Team/25/sw
Appearance
From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
- Je, pesa taslimu au zawadi nyinginezo hupataje uwiano kati ya haki na motisha ya kushiriki?
- Je, ni njia gani mbadala za zawadi za pesa ambazo tunaweza kutoa katika Kampeni?
- Je, tunajumuisha vipi GLAM katika mipango ya kampeni ya kupiga picha? Kampeni za upigaji picha zinawezaje kukuza majukumu ya kitaasisi? Au kushirikiana na miradi ya taasisi inayofadhiliwa na umma? -- Hili linahusiana sana na kile ambacho jumuiya ibuka zinahitaji kufanya ili kuandika maudhui ya kitamaduni -- taasisi za GLAM zenyewe hazikidhi hitaji hili.
- Je, jumuiya hutengenezaje njia bora za kufikia hadhira mpya na kukuza kampeni?