Jump to content
Wikimedia Meta-Wiki

Fundraising 2011/FAQ/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Fundraising 2011
sw/ Kiswahili
Pages for translation: [edit status]
Interface messages
high priority
Translated on Translatewiki. Get started.   In progress
Banners and LPs (source)
high priority   Published
Banners 2 (source)
high priority   In progress
Jimmy Letter 002 (source)
high priority   Published
Jimmy Letter 003 (source)
variation of Jimmy Letter 002   Missing
Jimmy Letter 004 (source)
variation of Jimmy Letter 002   Missing
Jimmy Mail (source)
variation of Jimmy Letter 002   Missing
Brandon Letter (source)   In progress
Alan Letter (source)   In progress
Kaldari Letter (source)   Missing
Karthik Letter (source)   Missing
Thank You Mail (source)   In progress
Thank You Page (source)   Ready
Problems donating (source)   Missing
Recurring giving (source)   Missing
Sue Thank You (source)   Missing
FAQ (source)
low priority   In progress
Various requests: Mail to past donors · Jimmy quote

Outdated requests:
Core messages (source)   Ready
Susan Letter (source)   Missing
GW Letter (source)   Missing
Translation instructions
  • For pages marked "Missing" or "In progress", click the page title and start translating. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • For pages marked "Needs updating", compare the page to the source page and update the translation accordingly. When you are done, click "edit status" and change the status to proofreading.
  • It is important to have someone else proofread the translated page! If you have proofread a page and it is ready for publication, click "edit status" and change that page's status to ready.
  • If you are changing something that has already been published, change its status back to ready for it to be published again.

If you have any questions or feedback regarding the translation process, please post them here. Translation FAQ

Shirika la Wikimedia – Maswali Yaulizwayo Marakwamara

Kwa kifupi, Wikipedia ni nini? Na Wikimedia?

[edit ]

Wikipedia (www.wikipedia.org) ni kamusi elezo kubwa zaidi duniani na inayopendelewa na watu wengi zaidi.Ipo kwenye mtandao, ni bure kutumia kwa shughuli na matumizi yoyote , na haina matangazo ya kibiashara.Wikipedia ina zaidi ya makala milioni 47 yaliyochangwa na wahanga kwa zaidi ya lugha 298 , na hutembelewa na zaidi ya watu milioni 430 kila mwezi na kuifanya kuwa mojawapo wa wavuti pendelezi duniani.

Wikipedia imetengenezwa na kuboreshewa kupitia ushirikiano wa mamilioni ya watu kwa kuongeza na kuhariri kwa kipindi cha miaka kumi iliyopita: mtu yeyote anaweza kuhariri wakati wowote. Imekuwa kapu kuu la kushiriki la maarifa katika historia ya binadamu.Watu wanaochangia na kusaidia wameunganishwa na upendo wao wa masomo,kiu chao cha maarifa, na utambuzi wa kuwa pamoja twafahamu mengi kushinda kila mmoja wetu akiwa kivyake.Mpmayenge 12:54, 20 September 2011 (UTC) [reply ]

Wikimedia Foundation sio shirika la kiserikali na ndilo linaloendesha shughuli za wikipedia na miradi mingine ya maarifa ya bure. Kwa pamoja wavuti hizi zimeorodheshwa kama nambari tano kulingana na idadi ya watu ambao wanazitembelea.Shirika la Wikimedia sio la kibiashara na lina offisi mjini San Francisco, Carlifonia, USA na limepewa msamaha wa kulipa kodi(tangu Aprili 2005) chini ya kifungu 501(c)(3) cha US Internal Revenue code ambacho kinatambua wikimedia kama upendo wa umma. Unaweza kutizama Barua yetu ya msamaha wa kulipa kodi na ripoti zetu za kimwaka za matumizi ya fedha.

Ujumbe wetu ni kuwezesha jamii ya wahanga wote duniani kusanya pamoja na kuendeleza maarifa duniani na kuyafanya yapatikane na kila mtu bure bila malipo kwa matumizi yoyote.Tunafanya kazi pamoja namtandao wa chapters katika nchi nyingi tofauti ili kufikia lengo hili.

Nikichangia Wikimedia, Pesa zangu zinatumika vipi?

[edit ]

Pesa unazochanga zinatumika kulipa wafanyakazi mishahara na kulipia teknolojia tunazotumia.Hata ingawa Wikipedia na miradi mingine kama wikipedia inafikia zaidi ya watu milioni 430 kila mwezi, tumeajiri watu 302 pekee; tazama muhtasari wa wafanyakazi.

Wafanyikazi wetu wamegawanywa katika programu tatu za idara: technolojia (uendeshaji wa wavuti, utengenezaji wa programu); Jamii (kuwafikia umma, uhusiano wa wasomaji na programu za jamii, kutafuta fedha), na maendeleo ya kiulimwengu (kusaidia uandalizi wa chapter na kuongezeka kwa Wikimedia duniani kote). Salio la wafanyakazi hao wengine wetu wako katika usimamizi, fedha, na utawala, ambao ni pamoja na ulinzi wa kisheria wa kazi zetu. Mchango wako pia unalipia seva, upana-bendi, na kuweka taarifa kwenye Internet ambazo zinatuwezesha kuendesha shughuli na kukuza miradi ya Wikimedia. Kama utachangia chapter ya nchini mwako, mchango wako utasaidia shirika la Wikimedia pamoja na shughuli za Wikimedia katika nchi yako.

Juu ya yote,Shirika la Wikimedia lipo ili kusaidia na kukuza mtandao mkubwa wa wahanga ambao huandika na kuhariri Wikipedia na miradi mingine ya Wikimedia - ambayo ni zaidi ya watu 100,000 kote duniani.

Ni wapi ninaweza kupata habari zaidi za kifedha?

[edit ]

2009–2010 Wikimedia Foundation Annual Report ina angazia mwaka uliopita (Julai 1, 2009 mpaka Juni 30, 2010) kwa kuangalia yale yajayo mbele. Hii ni ripoti yetu ya tatu ya mwaka. . Hii ripoti ya kila mwaka ya shirika la Wikimedia ni muhtasari wa matumizi na hali ya fedha,mpangalio wa shughuli zetu, mafanikio na maendeleo.

2011-12 Annual Plan ni bajeti yetu ya mwaka uliopo sasa.Ina muhtasari wa malengo yetu ya kimkakati, ripoti ya kina inayoashiria matumizi na mapato, na maelezo ya kina na uchambuzi.

Bonyeza katika picha zilizofuatia hapa chini ili upate nakala za ripoti za kila mwaka ama mpango wetu wa mwaka.

Mipango yako ni ipi? Mradi huu unaelekea wapi?

[edit ]

Kama vile mwanzilishi wa Wikimedia Jimmy Wales alivyosema: "Hebu fikiria dunia ambayo kila binadamu angeweza kushiriki katika jumla ya maarifa yote duniani."

We're serious about this vision. Kila mwezi, zaidi ya watu milioni 430 duniani kote tayari wanatumia wikipedia. Inapatikana kwenye mtandao, kwenye elektroniki zako za mkono, kwenye DVD, katika vitabu, na katika aina nyingine nyingi. Tunatamani kufikia kila mtu, na daima kutoa habari zaidi na nzuri.

Tukiungwa Mkono na mchakato mkali wa jamii inayotokana na mipango, katika mwaka wa 2010 Bodi ya Wadhamini wa wakfu wa Wikimedia waliweka "malengo jasiri, makubwa, hairy " kwa Wikimedia. Haya malengo ya miaka mitano (PDF) yanajumuisha kuongeza idadi ya watu wanaopata huduma za Wikimedia kufikia takriban watu bilioni moja na kuongeza makala katika Wikipedia yafike millioni hamsini. We're also setting out to dramatically increase and diversify participation, and to measure and improve quality of all Wikimedia content.

Wikimedia sio shirika la jadi. Ni harakati ya kimataifa. Msingi wa hizi kazi hufanywa na maelfu ya wahanga duniani nzima.Jamii hii ya wahanga inasaidiwa na mtandao wa mashirika, pamoja na shirika la Wikimedia foundation likiwa katikati likifanaya kazi kwa ushirikiano na sura zenye umakini wa kijiografia local chapters katika mikoa au nchi 38. Ni jamii yetu ya wahanga ambayo inatuwezesha kukamilisha miradi mingi ingawaje kwa kidogo tulicho nacho.

Hizi ni shughuli ambazo tumelenga sasa hivi;

Operating the world's fifth largest web property. At its heart, Wikimedia requires operational excellence to continue to exist. As of 2011, we're operating several hundred servers in three locations. While our global traffic continues to grow, our aim is to provide the best possible site experience to everyone in the world, to maximize uptime, and to ensure that all the information in Wikimedia projects is safe and secure.

Photograph: Wikimedia servers in our Florida hosting facility.

Kuwapa wahanga wa Wikimedia zana bora zinazowawezesha kufanya kazi yao. 'Teknolojia ya kimsingi ifanyayo Wikipedia na miradi mingine ya wikimedia kuwezekana, wiki, ilizuliwa mwaka wa 1995. Mambo yamebadilika kiasi tangu wakati huo. Miradi ya Wikimedia run kwenye programu wazi ya wiki iitayo MediaWiki, ambayo sisi huendeleza na kuboresha. Lengo letu ni kufanya kuchangia elimu kuwe rahisi kadri iwezekanavyo, na kupea wahanga na wasomaji zana za kutathmini na kuboresha makala. Katika baadhi ya maeneo, sisi kuongoza na innovation. Kwa kiwango cha chini kabisa, ni lazima kuweka juu mienendo yetu ya muhimu katika mtandao inayobadilika ambayo sisi ni sehemu yake. Kwa sababu programu yetu ni wazi, kila mtu anaweza kutumia na kuboresha.

Photograph: Affinity diagram created based on Wikipedia usability research.

AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) /