人民网首页

Mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China wamalizika

Wajumbe wa Bunge la Umma la China wawasilisha mapendekezo 269 kwenye mkutano wa mwaka wa bunge hilo

BEIJING – Watunga sheria wa kitaifa wa China wamewasilisha mapendekezo 269 hadi Machi 8 ambayo ni tarehe ya mwisho kuwasilisha mapendekezo kwa mkutano mkuu wa tatu unaoendelea mjini Beijing wa Bunge la Umma la 14 la China, ambao ni mkutano wa mwaka wa chombo hicho kikuu cha utungaji wa sheria.

Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin)

Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China apongeza waandishi wa habari kwa kuripoti mkutano wa mwaka

Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin) BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao....

Gao Zhidan, mkurugenzi wa Idara Kuu ya Michezo ya China, akishiriki kwenye mahojiano baada ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China....

Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengineLi Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren)

Mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China wamalizika

Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren) BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing....

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)

Tume ya utendaji wa mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China yafanya kikao cha tatu

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei) BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho....

Feng Xingya (kulia), mjumbe wa Bunge la Umma la 14 la China, akifahamishwa kuhusu uondoaji na ufungaji betri kwenye kituo cha huduma ya nishati kwa magari yanayotumia umeme mjini Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Februari 24, 2025. (Xinhua/Liu Dawei)

Mjumbe wa Bunge la Umma la China atoa wito wa kusukuma maendeleo kwa uvumbuzi katika tasnia ya magari

Feng Xingya, mwenyekiti wa kundi la kampuni za kuunda magari la China, GAC, amekuwa akifanya kazi katika tasnia ya magari kwa miaka zaidi ya 30. Ameshuhudia maendeleo ya tasnia ya magari ya China....

Mjumbe Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China akikagua toleo la Breli la ripoti ya kazi ya serikali kwenye kikao cha kundi la wajumbe wa sekta ya ustawi wa jamii na huduma za jamii wa Mkutano wa tatu wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China, Machi 5. (Xinhua)

Ripoti ya kazi ya serikali ya China yatolewa katika Breli kusaidia wajumbe wenye ulemavu wa macho

Katika mikutano mikuu miwili ya China inayoendelea mjini Beijing, yaani mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China na ule wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China, toleo la Breli (maandishi ya watu wenye ulemavu wa macho) la ripoti ya kazi ya serikali ya nchi hiyo imetolewa kwa mara ya kwanza kwa wajumbe wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China. Wakati wa mchana wa jana Alhamisi, tarehe 5, Machi, mjumbe wa baraza hilo, Li Qingzhong kwenye kikao cha kikundi cha wajumbe wa sekta ya ustawi wa jamii na huduma za jamii, mahsusi aliomba kila mjumbe kuzingatia ripoti hiyo maalumu ya kazi ya serikali aliyokuwa ameishika mkononi wakati akizungumza....

Gexi Wangmu (Kulia) akifahamishwa kuhusu huduma za afya za eneo husika alipomtembelea mwanakijiji mzee katika Kijiji cha Songgang cha Mji wa Maerkang, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Watibet na Waqiang la Aba, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Februari 18, 2025. (Xinhua/Wang Xi)

Mjumbe wa Bunge la Umma la China adumisha mawasiliano na wakazi wazee kupitia huduma za matunzo

ABA - Gexi Wangmu, ni mjumbe wa Bunge la 14 la Umma la China, anayefanya kazi kama mkurugenzi wa kituo cha matunzo ya wazee katika Mji wa Maerkang wa Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China. Akiwa ni mjumbe wa bunge hilo wa "kuzaliwa baada ya miaka ya 90", Gexi alianza maisha yake ya utumishi kama mfanyakazi wa mstari wa mbele wa huduma za matunzo ya wazee, na amejitolea kwa miaka 16 katika kazi yake hiyo....

Sun Jingnan (wa pili kushoto) akizungumza na wafanyakazi wenzake katika karakana ya CRRC Tawi la Nanjing Puzhen, Mkoa wa Jiangsu wa China, mashariki, Februari 20, 2025. (Xinhua/Li Bo)

Mjumbe wa Bunge la China na mchomeleaji vyuma mstadi anayejitoa kwa mafunzo ya mafundi vijana

NANJING - Sun Jingnan amekuwa akifanya kazi kama mchomeleaji vyuma katika Kampuni ya Vifaa vya Reli ya CRRC ya China Tawi la Nanjing kwa zaidi ya miongo mitatu, na pia shahidi wa maendeleo ya haraka ya sekta ya usafiri wa reli ya China. Akiwa amekua kutoka fundi kijana hadi kuwa mtaalamu, Sun ni mshauri na mlezi kitaaluma kwa vijana wengi wenye vipaji katika sekta hiyo ya reli....

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)

Tume ya utendaji wa mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China yafanya kikao cha tatu

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei) BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho....

Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye ofisi ya sekretarieti ya mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China mjini Beijing, Machi 9, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Wajumbe wa Bunge la Umma la China wawasilisha mapendekezo 269 kwenye mkutano wa mwaka wa bunge hilo

Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye ofisi ya sekretarieti ya mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China mjini Beijing, Machi 9, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong) BEIJING – Watunga sheria wa kitaifa wa China wamewasilisha mapendekezo 269 hadi Machi 8 ambayo ni tarehe ya mwisho kuwasilisha mapendekezo kwa mkutano mkuu wa tatu unaoendelea mjini Beijing wa Bunge la Umma la 14 la China, ambao ni mkutano wa mwaka wa chombo hicho kikuu cha utungaji wa sheria....

Waziri wa Mambo ya Kiraia wa China Lu Zhiyuan, Waziri wa Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii Wang Xiaoping, Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Miji-Vijiji Ni Hong, na mkuu wa Kamati ya Kitaifa ya Afya ya China Lei Haichao wakihudhuria mkutano na waandishi wa habari kuhusu masuala ya maisha ya watu katika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China mjini Beijing, Machi 9, 2025. (Xinhua/Xu Bingjie)

Mkutano na waandishi wa habari kuhusu maisha ya watu wafanyika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la China

Mawaziri wa China, Lu Zhiyuan wa Wizara ya Mambo ya Kiraia, Wang Xiaoping wa Wizara ya Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii, Ni Hong wa Wizara ya Nyumba na Maendeleo ya Miji-Vijiji, na Lei Haichao Mkuu wa Kamati ya Kitaifa ya Afya ya China wamehudhuria kwenye mkutano na waandishi wa habari jana Jumapili wakifafanua na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu maisha ya watu kwenye mkutano na waandishi wa habari katika wakati wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China unaondelea mjini Beijing....

Feng Xingya (kulia), mjumbe wa Bunge la Umma la 14 la China, akifahamishwa kuhusu uondoaji na ufungaji betri kwenye kituo cha huduma ya nishati kwa magari yanayotumia umeme mjini Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Februari 24, 2025. (Xinhua/Liu Dawei)

Mjumbe wa Bunge la Umma la China atoa wito wa kusukuma maendeleo kwa uvumbuzi katika tasnia ya magari

Feng Xingya, mwenyekiti wa kundi la kampuni za kuunda magari la China, GAC, amekuwa akifanya kazi katika tasnia ya magari kwa miaka zaidi ya 30. Ameshuhudia maendeleo ya tasnia ya magari ya China....

Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin)

Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China apongeza waandishi wa habari kwa kuripoti mkutano wa mwaka

Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin) BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao....

Gao Zhidan, mkurugenzi wa Idara Kuu ya Michezo ya China, akishiriki kwenye mahojiano baada ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China....

Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengineLi Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren)

Mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China wamalizika

Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren) BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing....

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)

Tume ya utendaji wa mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China yafanya kikao cha tatu

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei) BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho....

Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin)

Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China apongeza waandishi wa habari kwa kuripoti mkutano wa mwaka

Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin) BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao....

Gao Zhidan, mkurugenzi wa Idara Kuu ya Michezo ya China, akishiriki kwenye mahojiano baada ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China....

Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengineLi Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren)

Mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China wamalizika

Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren) BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing....

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei)

Tume ya utendaji wa mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China yafanya kikao cha tatu

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei) BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho....

Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China apongeza waandishi wa habari kwa kuripoti mkutano wa mwaka

Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Bunge la Umma la China akikutana na waandishi wa habari walioripoti habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, na kutoa shukrani zake kwa juhudi zao, katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2025. (Xinhua/Liu Bin) BEIJING - Zhao Leji, Mwenyekiti wa Bunge la Umma la China jana Jumatano alikutana na waandishi wa habari walioripoti na kutangaza habari za mkutano wa tatu wa Bunge hilo la 14, akitoa shukrani zake kwa juhudi zao.

Gao Zhidan, mkurugenzi wa Idara Kuu ya Michezo ya China, akishiriki kwenye mahojiano baada ya kufungwa kwa mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Zheng Huansong)

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wahojiwa baada ya kufungwa kwa mkutano wa 3 wa Bunge la Umma la 14

Mawaziri na viongozi wa Serikali ya China wamehudhuria mahojiano na waandishi wa habari na kujibu maswali mbalimbali kuhusu masuala ya wizara na mamlaka wanazoziongoza jana Jumanne, Machi 12, baada ya kikao cha kufunga mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China.

Mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China wamalizika

Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng wakihudhuria kwenye mkutano wa tatu wa kufungwa wa Bunge la 14 la Umma la China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 11, 2025. (Xinhua/Li Xueren) BEIJING – Mkutano wa tatu wa Bunge la 14 la Umma la China, ambalo ni chombo kikuu cha utungaji wa sheria cha China umemalizika jana Jumanne, ambapo Rais Xi Jinping wa China na viongozi wengine Li Qiang, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi na Han Zheng walihudhuria kwenye mkutano huo wa kufungwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.

Tume ya utendaji wa mkutano wa mwaka wa Bunge la 14 la Umma la China yafanya kikao cha tatu

Akiwa amekabidhiwa kazi na Zhao Leji, Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, Li Hongzhong, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano akiongoza kikao cha tatu cha tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 10, 2025. (Xinhua/Yue Yuewei) BEIJING – Tume ya Utendaji wa mkutano wa tatu wa Bunge la Umma la 14 la China, ambalo ni chombo cha utungaji wa sheria cha kitaifa cha China, imefanya kikao chake cha tatu jana Jumatatu, ambapo akiwa amekaimishwa kazi na Zhao Leji, mwenyekiti mtendaji wa Tume ya Utendaji wa mkutano Li Hongzhong ameongoza kikao hicho.

AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) /