Jump to content
Wikimedia Meta-Wiki

Translations:Movement Charter/Drafting Committee/Candidates/680/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Hofu, kutokuwa na uhakika pamoja na shaka vyote huzaliwa kutokana na ujinga. Ili kupambana na kuongezeka kwa ukabila na uhasama, lazima kwa pamoja tushike tunu maadili ambayo kila mmoja wetu anaamini, maarifa yote ya kibinadamu lazima yawe ya bure na ya kupatikana. Wikimedia inafanya kwa nafasi yake haifanyi karibu kutosha. Harakati zetu ni muhimu, hazina kamili ya habari isiyo na upendeleo ni muhimu kupambana na chuki na kukuza uelewa wa ulimwengu. Kuelewana kati ya watu tofauti ni jiwe la msingi la ulimwengu salama, na endelevu zaidi. Lazima tufanye zaidi.

AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) /