Jump to content
Wikimedia Meta-Wiki

Translations:Movement Charter/Drafting Committee/Candidates/657/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Mimi ni mwandishi mzuri na mhariri bora. Mimi ni mzungumzaji mzuri na mzoefu wa tamaduni. Nina uzoefu wa kujenga mifumo ya msaada ambayo ilisaidia elimu ya Wiki kuanzia kusaidia wanafunzi 2,747 na wafanyakazi wawili waliojitolea wa nusu ya muda kwa 2014 hadi kusaidia wanafunzi 6,820 mnamo mwaka 2020 na mfanyakazi mmoja aliyejitolea (mimi). Nina uzoefu na maendeleo ya sera kwenye en.wp; moja ya forays yangu kuu ya kwanza ilikuwa jaribio (lisilofanikiwa) la kusanikisha nukuu ya Era mnamo 2005.

AltStyle によって変換されたページ (->オリジナル) /